KUHUSU MWANDISHI WA ITV KUPIGWA RISASI,HII NDIO HABARI KAMILI
UFO SARO. Pichani
chini baadhi ya Wafanyakazi wenzake na Ufo Saro kutoka IPP pamoja
waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa katika hospitali ya
taifa ya Muhimbili ambako Ufo Saro ambaye mpaka sasa, yuko katika chumba
cha upasuaji baada ya kupigwa risasi na mchumba wake Anteri Mushi
usiku wa kuamkia leo ambapo pia alimpiga mama mzazi wa Ufo Saro
Anastazia Peter Saro miaka 59 aliyefariki hapohapo na baadae kujipiga
risasi mwenyewe na kufa hapohapo, Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia
leo huko Mbezi LuisiWafanyakazi hao wakibadilishana mawazo hapa na pale katika hospitali ya Muhimbili leo hii
No comments:
Post a Comment