Sunday 13 October 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS MKONGWE BARANI AFRIKA ROBERT MUGABE HUKO ADDIS ABABA

Picture
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole baada ya viongozi hao kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia Oktoba 12, 2013

No comments:

Post a Comment