Zaidi ya picha 10 za mapokezi ya Ommy Dimpoz kutoka Airport mpaka hapa nyumbani kwake
Staa
wa bongofleva ambae anatajwa kushika nafasi ya pili kwa kulipwa pesa
nyingi kwenye show (milioni 8 kwa Tz) huku ya kwanza ikishikwa na
Diamond Platnums (milioni 10 kwa TZ), Ommy Dimpoz amerejea Tanzania leo
October 15 2013 baada ya kukaa Marekani kwa karibu wiki nne.
Ni show tatu tu ndio zilimpeleka Ommy Dimpoz na kumuingiza Marekani
kwa mara ya kwanza… kutana na picha zake za mapokezi baada ya kutua Dar
es salaam alafu stori utaiona baadae on millardayo.com na kwenye AyoTV. Airport Dar es salaaam Baada ya kuwasili nyumbani kwake Dar es salaam, hapa ni nje ya nyumba yake yenye hilo geiti jeusi hapo Mtaani kwenyewe.. Meneja Mubenga akisaidia kubeba mizigo
No comments:
Post a Comment