Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani
katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Kahama.…
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani
katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Kahama.
Staa aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake wa Maumivu, Khadija akiangusha shoo yake.
BK Sande akishambulia jukwaa.
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL, KAHAMA)

No comments:
Post a Comment