Ni
wiki moja tu imepita baada ya kuondoka Mwanza nilikokwenda kwa ajili ya
Tour ya Fiesta inayoendelea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo
mara zote ambazo nimekua nikiitembelea Mwanza, kila nikitazama watu
walivyojenga pembeni au karibu ya mawe makubwa milimani huwa maswali
hayaniishi.Mara zote ninapoitembelea Mwanza Kwenye kumbukumbu zangu sikumbuki kama niliwahi kusikia kuporomoka kwa haya mawe lakini kama Bindamu niliwahi kuwa na hofu hiyo.
Natoa pole sana kwa ndugu waliopoteza ndugu zao wanne baada ya mvua kunyesha kisha nyumba zao kuporomokewa na haya mawe makubwa maeneo ya Mabatini Sinai mtaa wa Nyerere A.









No comments:
Post a Comment