SERIKALI YAPOKEA MAGARI NA PIKIPIKI KUKABILIANA NA UGONJWA WA KIFUA KIKUU NA UKOMA NCHINI
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi (kulia) akipokea ufunguo
wa moja kati ya magari kutoka kwa mwakilishi wa shirika la GLRA nchini
Burchard Rwamtoga (kushoto) ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa gari 4
na pikipiki 20 vyenye thamani ya Tsh. Milioni 261 jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi akiwasha moja kati ya
magari manne aliyoyapokea kutoka kwa mwakilishi wa shirika la GLRA la
Ujerumani nchini Burchard Rwamtoga jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment