Friday 12 September 2014

EEHH MOLA, AJALI NYINGINE SINGIDA, YADAIWA MTU MMOJA AMEPOTEZA MAISHA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRnmOj4ZCv1Cdi87AOVzTP3O3E3fL9xMiIyIzdjXsu012jNX1Pjn7EQ2bV1At6rbxxzPvcO_s3KfuJ5TBDUra2LLgLQvvgRZxGR9ss_HldoSGqgQYXtIXZtN95wlprCxzhl7wP-ZIvKjuA/s1600/IMG-20140911-WA0037.jpgLori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma leo. Inadaiwa dereva wa lori hilo alikufa.

No comments:

Post a Comment