Friday 12 September 2014

PICHA ZA HARUSI ZA LULU NA JOTI UTATA MTUPU, YAANI NI SHIIIIDA, ZICHEKI HAPA



Msanii wa Orijino Komedi Joti na msanii wa filamu Lulu, wakikumbatiana katika picha za harusi, huku MC Pilipili wa harusi hiyo akishuhudia kwa shauku.
......sasa unaweza kumbusu bibi harusi!
...wamependezaje!!!!

No comments:

Post a Comment