Saturday, 28 September 2013

FILAMU YA UFUSKA YA MSANII MANAIKI SANGA YAVUNJA REKODI SASA YAFIKIA ODA KOPI ELFU 38 NCHI NZIMA, KAMPUNI YA STEPS YAVUJISHA SIRI NZITO..

 



Katika hali ya kushtua kuna taarifa kuwa filamu ya msanii kina kwa ufuska kwenye kiwanda cha bongo movie Manaiki Sanga "The Don" ameweka rekodi mpya nchini kufuatia filamu yake kufikisha kopi nyingi ambazo huenda kiasi hicho hakijawahi kufikiwa na msanii yeyote.

Habari za uhakika toka kwa mtu wa karibu na kampuni ya Steps ambae aligoma kutaja jina lake kwa madi kuwa yeye si msemaji wa kampuni hiyo alisema " Kwa kweli hii ni kali unajua hadi sasa hapa ofisini tunapokea maelfu ya filamu wakihitaji kupata nakala ya filamu ya msanii huyo" Alisema kijana huyo wa kihindi
Aidha kijana huyo aliongeza kusema kuwa kitu kikubwa kinachofanya watu kuisubiri kwa hamu filamu ni kutaka kuona msanii huyo aliyejizolea umaarufu nchini na dunia nzima kutokana na picha za utupu za mabint zaidi ya 400 ambao baadae hao mabint wote kuwafanyisha filamu hiyo inayoitwa Ngema huku pia mastaa mbalimbali wakishirikishwa. Kijana huyo alimaliza kusema kampuni ya Steps imeichukua filamu hiyo na tayari wako kwenye makubaliano ya mwisho na Manaiki na huenda ikapewa nafasi ya kuachiwa haraka mtaani kutokana na wananchi wengi nchini Tanzania na Kenya, Kongo na Uganda kutaka filamu hiyo kuwafikia ili kuona nini kilichopo ndani yake.

No comments:

Post a Comment