Bibi Hilary Clinton akisalimiana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa
hafla ya kuweka mikakati ya kupambana na ujangili wa wanyama pori
hususan Tembo katika nchi za Afrika iliyofanyika katika hoteli ya
Sheraton jijini New York Marekani mwishoni mwa wiki iliyopita.Mfuko wa
Clinton Foundation utatoa msaada wa fedha kufanikisha mapambano dhidi ya
ujangili katika baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania.Viongozi
wengine wa Afrika waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Rais Yoweri
Museveni wa Uganda(kulia),Rais Joyce Banda wa Malawi(Wapili
kushoto),Rais Alassane Outarra wa Ivory Coast(watatu kushoto),Rais Ali
Omar Bongo wa Gabon(Wanne kushoto) na Rais Blaise Compaore wa Burkina
Fasso(wapili kulia). Watano kushoto aliyesimama ni Chelsea Clinton Binti
wa Rais Clinton ambaye ni mwanaharakati dhidi ya Ujangili.(picha na
Freddy
No comments:
Post a Comment