Tuesday, 1 October 2013

SOMA SIFA ZOTEE ALIZOMWAGIWA DIAMOND NA X-GIRLFRIEND WA PREZOO,WALLAH NI KAMA AMESHATEGA MINGO KWA PLATNUM.

Katika kudhihirisha kweli Diamond ni ‘Sukari ya warembo’ (kama alivyojibatiza), mshiriki wa Big Brother Africa aliyekua anaiwakilisha Kenya, Huddah Monroe ameonesha hisia zake za wazi juu ya msanii huyo.
Kupitia kwenye interview aliyofanyiwa na mtandao maarufu wa Bongo5.com, Huddah alikiri kwamba anampenda Diamond na nyimbo zake kwa ujumla. Mrembo huyo wa Kenya alisema;

“Diamond is a very hardworking guy, his sexy appeal, he is good looking, and he is a go-getter and he is scandalous, I like anyone who is scandalous that’s why I was drown to his music because I was like ‘wow, this guy has almost the same sentiments with me, he is a bad boy, I am bad girl, Diamond congratulations...”


Hata hivyo alimalizia kusema kwamba hamaanishi kwamba anamtamani kama mpenzi wake, bali as a fan ametokea kumkubali tuu.


Kwa sasa mrembo huyo yupo Dar kwa ajili ya ku-host bonge moja la Party!!!

No comments:

Post a Comment