Monday, 23 September 2013

TAARIFA MPYA KUTOKA KENYA,MAGAIDI BADO WAPO NDANI YA WESTGATE,MMOJA MWANAMKE.ASKARI WAMEFIKIA HATUA HII

ZAHAMA NAIROBI: Vifo vyafikia karibu 60 katika shambulio la kigaidi kwenye maduka ya Westgate Mall huku zaidi ya watu 175 wakifikishwa hospitali na wengine 1,000 wakiokolewa. Vyombo vya usalama viko katika hatua za mwisho mwisho za kuwatimua Al-Shabab toka ndani ya jengo hilo. Ripoti zasema zaidi ya magaidi 10 wamehusika katika shambulio la leo, mmoja akiwa mwanamke. Habari zaid @dailynation. PICHA | AFP

No comments:

Post a Comment