Friday 14 February 2014

NYOTA WA FILAMU AANIKA PICHA ZAKE ZA UTUPU MTANDAONI

Inavyoonekana huenda ikawa kuna picha nyingi zaidi za utupu wa muigizaji huyu maarufu wa filamu toka nchini Nigeria aitwaye Uche Iwuji, hii imekuja mara baaada ya kuvuja na kusambaa kwa picha nyingi za muigizaji huyo ambaye pia ni mke wa mtu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.

Cheki baadhi ya picha hapo chini...

Watu mbalimbali wamesema inabidi muigizaji huyu ajiangalie sana, huku wakihoji kuwa Uche ana matatizo gani na kwa nini aliamua kupiga picha za aina hii?

No comments:

Post a Comment