Saturday 2 August 2014

AJALI YA HOOD NA HIECE ARUSHA YA POTEZA UHAI WATU WATANO










Leo majira ya asubuhi maeneo ya kilala barabara ya moshi arusha kumetokea ajali mbaya iliyopelekea abiria wa dalala kupoteza maisha ya watano na majeruhi.









Eneo la ajali kilala jijini Arusha.

hiece iliyopata ajili, mashuhuda wakitoa huduma ya kwanza




No comments:

Post a Comment