Wednesday, 27 August 2014

ALICHONITENDEA MREMBO HUYU SIKU YA JAN NATHANI ALIPENDA TU KUNIHAIBISHA MTU MZIMA


 
 Tumepanda daladala moja, ikafika wakat wa konda kuchukua mchango wa mafuta....kimbembe kikaanzia hapo, mdafada kajisachi weeeee nauli hana akaanza kumbembeleza konda kuwa atamlipa akifika mwisho wa safari.

Konda akagoma na akaanza kutoa maneno ya dharau kwa yule dada, nikaona hapa ndo nakamatia fursa, nikamlipia yule demu halafu nikamchimba mkwara mzito sana konda huku nikitishia kumtandika na makofi, nikajifanya namfahamu sana yule dada.
Lengo langu ni kwamba tukishuka nachukua contact fasta, maana kwa kweli demu alikuwa ni mkali kinoma, tulipofika mwisho wa safar akaniomba tuongozane, nikajua yees kumbe hata yeye kanimaindi....tukafika kwny duka flani.

No comments:

Post a Comment