story ya muda mrefu ya Penzi la siri kati ya Ommy Dimpoz na Jokate aka Kidoti.
Stori hii ilivuja baada ya beef la chini
kwa chini kati ya Jokate na mwimbaji mmoja wa kike ambae hawana
maelewano mazuri na chanzo kikidaiwa kuwa ni mwanamuziki huyu wa kike
(jina lake linaanzia na herufi V) kukuta meseji za Mapenzi kati ya
Mpenzi wake huyo na dada yetu kidoti.
Chanzo kinasema Kidoti na Ommy Dimpoz walianza mapenzi ya siri kwa siri baada ya dada huyo kuachana na Diamond.
Sasa wataalamu wa mambo wanasema dada yetu huyu anaonekana sana maeneo ya Kinondoni katika
mjengo wa kupanga wa star huyu wa ndagushima chande na mapenzi yao bado
inasemekana yanaendelea chini kwa chini lakini nje nje.
No comments:
Post a Comment