Tuesday 19 August 2014

mawe yaporomoka Mwanza na kuua watu wanne.


Screen Shot 2014-08-19 at 9.04.45 AMNi wiki moja tu imepita baada ya kuondoka Mwanza nilikokwenda kwa ajili ya Tour ya Fiesta inayoendelea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo mara zote ambazo nimekua nikiitembelea Mwanza, kila nikitazama watu walivyojenga pembeni au karibu ya mawe makubwa milimani huwa maswali hayaniishi.
Mara zote ninapoitembelea Mwanza Kwenye kumbukumbu zangu sikumbuki kama niliwahi kusikia kuporomoka kwa haya mawe lakini kama Bindamu niliwahi kuwa na hofu hiyo.
Natoa pole sana kwa ndugu waliopoteza ndugu zao wanne baada ya mvua kunyesha kisha nyumba zao kuporomokewa na haya mawe makubwa maeneo ya Mabatini Sinai mtaa wa Nyerere A.
Screen Shot 2014-08-19 at 9.04.53 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.05.00 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.05.07 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.05.16 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.05.46 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.05.53 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.06.00 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.06.09 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.06.36 AM

No comments:

Post a Comment