Thursday 7 August 2014

TUKIO KATIKA PICHA: KIJANA AUAWA KWA KUPIGWA KISU SABABU DENI LA TSH 5,000, STAND YA MABASI MJINI IRINGA

 Tunaomba Radhi kwa picha.

 Tukio tulilopokea muda mchache uliopita mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika amemuua mwenzake kisa walikuwa wanaiana Shilingi Elfu tano... Tunaendelea kufuatilia tukio zaidi .. endekea kufuatilia hapa hapa
 Kijana huyo ambaye jina halijafahamika akiwa amefariki baada ya Kuchomwa kisu na mwenzake kisa madai ya Tsh 5000 tuu
Mamia ya watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo.

No comments:

Post a Comment