Thursday 7 August 2014

UZURI NA UREMBO WA BINTI WA RAISI KAGAME, WAKOSHA NYOYO ZA VIGOGO HUKO MAREKANI


Ange Kagame (2nd left) in the Blue Room before the White House dinner
Raisi wa Rwanda akiwa White House na binti yake Ange kagame.
walishiriki chakula cha jioni pamoja na raisi wa marekani, wafanya bihashara wakubwa duniani, congressmen, wahandishi wa habari, wa wakilishi wa umoja wa mataifa na wanataaluma wa vyuo maarufu hapa duniani
Ange alipiga picha katika chumba cha bluu kabla ya mlo wa jioni na Barack Obama
Ange alikonga nyoyo kuvuta hisia za watu maarufu kwa kimo na uzuri wake kama  Twiga wa Tarangire. 


Akiwa kwenye pozi katika picha

Ange Kagame and his dad, President Kagame on arrival at the White House on Tuesday


Ange Kagame ni mtoto wapili na binti wapekee wa raisi Kagame. Raisi Kagame ana watoto wanne ambao ni Ivan, Ian na Brian mke wake ni Keannette Nyiramongi 



No comments:

Post a Comment