Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Msanii anaekuja vizuri sana hapa Tanzania, East Africa na AFrika kwa ujumla aliye imba vibao vikali si mwingine ni  Diamond Platinum ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni pamoja na  
MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR,  
MOST GIFTED NEW COMER,
MOST GIFTED AFRO POP
na MOST GIFTED EAST AFRICA
MOST GIFTED NEW COMER,
MOST GIFTED AFRO POP
na MOST GIFTED EAST AFRICA
No comments:
Post a Comment