Ni
 shida Hapa Mjini kwa Wadada , Kila  Mdada anataka Awe na Mkia as ndo 
kitu kina kiki hapa Town, Inafikia  Wengine wanaamua kutafuta Makalio 
Fake kwa Njia yoyote ile Kama kumeza  dawa za mchina ama kuvaa 
vigodoro..Wadada Jamani Taratibu Siku hizi  Wanaume hata hatujui lipi 
Fake lipi Original... 
 
 
 
No comments:
Post a Comment