Star wa filamu Swahiliwood, Irene Uwoya inadaiwa hana mzuka kabisa wa 
kutoka na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani 
wanaishia kuhema hema tu.
Inadaiwa
 kuwa Uwoya anapenda wanaume wasio wanene bali hupenda wenye miili ya 
kimazoezi na wasio na vitambi kwa madai wako vizuri sana kunako sita kwa
 sita na mwenyewe huvtiwa nao sana. Chanzo kimoja kutoka kambi ya Uwoya 
kikizungumza na Swahiliworldplanet
 jana kilisema "Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa 
wakimsumbua Uwoya , yeye hana time nao sio type yake, yeye anapenda 
wanaume wenye vifua vya mazoezi na wasio na vitambi ndiyo rahisi kunasa 
penzi lake, yeye anaona wenye vitambi na wanene hawawezi gwaride la sita
 kwa sita" kilisema chanzo hicho huku kikiangua kicheko cha aibu.
Hata hivyo Uwoya hakupatikana kuzungumzia hilo lakini takribani mwezi sasa alipohojiwa na jarida moja linalotoka kwa mwezi mara mbili alisema kuwa hapendi wanaume wanene linapokuja suala la mahausiano ya kimapenzi.
Inadaiwa
 kuwa Uwoya anapenda wanaume wasio wanene bali hupenda wenye miili ya 
kimazoezi na wasio na vitambi kwa madai wako vizuri sana kunako sita kwa
 sita na mwenyewe huvtiwa nao sana. Chanzo kimoja kutoka kambi ya Uwoya 
kikizungumza na Swahiliworldplanet
 jana kilisema "Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa 
wakimsumbua Uwoya , yeye hana time nao sio type yake, yeye anapenda 
wanaume wenye vifua vya mazoezi na wasio na vitambi ndiyo rahisi kunasa 
penzi lake, yeye anaona wenye vitambi na wanene hawawezi gwaride la sita
 kwa sita" kilisema chanzo hicho huku kikiangua kicheko cha aibu.Hata hivyo Uwoya hakupatikana kuzungumzia hilo lakini takribani mwezi sasa alipohojiwa na jarida moja linalotoka kwa mwezi mara mbili alisema kuwa hapendi wanaume wanene linapokuja suala la mahausiano ya kimapenzi.
No comments:
Post a Comment