Sunday 11 August 2013

HII NDO KAULI YA Mh. ZITTO KABWE KUHUSU SHEIKH PONDA KUPIGWA RISASI MOROGORO

SHEIKH PONDA ISSA PONDA
 Kabwe; Sheikh Ponda - Habari zinazidi kuchanganya. Napata taarifa kwamba Sheikh Ponda ni mzima ila ana majeraha makubwa ya risasi alizopigwa na polisi. Kwa hali yeyote ile ninazidi kushauri kwamba haya ni majaribu na kuna haja ya kuwa watulivu sana. Kitendo cha polisi kutumia risasi za moto dhidi ya raia ni kitendo cha kulaaniwa sana.

No comments:

Post a Comment