Tuesday, 8 October 2013

kuhusu Polisi Mtwara kukamata watu msituni na hivi vifaa vya mafunzo ya Al Shabaab na Al Qaeda


1Stori ambayo ilishika namba 1 kwenye habari 10 za AMPLIFAYA ya Clouds FM October 7 2013 ni hii ya Polisi Mtwara kukamata vijana 11 ambao walikua wakifanya mazoezi ya kijeshi waliyokua wakijifunza kutoka kwenye cd za magaidi zilizokua na mafunzo kutoka kwa makundi ya Al Shabaab na Al Qaeda.
Taarifa zaidi unaweza kuzisoma hapo chini kwenye hiyo taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi.
2
3
4
5
6Picha zote zimetoka http://www.jennyshumileta.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment