Wednesday 13 August 2014

Christian Bella sababu za kutunga Nani kama mama

Msanii Christian Bella amesema alitunga wimbo wake wa 'Nani kama mama' baada ya kumshuhudia live mke wake akijifungua na kupata mateso makali, hivyo aka-salute kuwa mwanamke anatakiwa kuheshimiwa tofauti na anavyochukuliwa

No comments:

Post a Comment