Monday 25 August 2014

Diamond atumia mipasho ya Taarab kuwakejeli wanafki amteme Wema Sepetu

Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu watengane.


Siku chache zilizopita Diamond na Wema Sepetu walikuwa mada kubwa baada ya mashabiki wa Wema kuanzisha kampeni yenye hashtag #BringbackOurWema, wakimtaka Diamond amrudishe kwenye chart yake Wema ambaye walidai amejikita kwenye mapenzi zaidi hivi sasa. 
mond

No comments:

Post a Comment