Thursday 28 August 2014

Diamond na Dabo waingia kwenye kinyang'ang'aro kuwania tuzo za 'IRAWMA', Marekani


 

Wasanii wa Tanzania, Diamond Platinumz na Dabo (wa Dancehall) wametajwa kuwania tuzo za IRAMWA (International Reggae and World Music Awards), Marekani.
Wimbo wa MdogoMdogo wa Diamond umemuwezesha kutajwa kuwania tuzo hizo katika kipengele cha The Best African Song/Entertainer akichuana na Davido (Aye), Awilo Longomba (Bendeke), Willy Paul Msafi (Tam Tam), Eddy Kenzo (Sittya Loss), na Bracket (Mama Afrika).













No comments:

Post a Comment