Thursday 28 August 2014

SERIKALI YAPOKEA MAGARI NA PIKIPIKI KUKABILIANA NA UGONJWA WA KIFUA KIKUU NA UKOMA NCHINI



Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi (kulia) akipokea ufunguo wa moja kati ya magari kutoka kwa mwakilishi wa shirika la GLRA nchini Burchard Rwamtoga (kushoto) ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa gari 4 na pikipiki 20 vyenye thamani ya Tsh. Milioni 261 jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi akiwasha moja kati ya magari manne  aliyoyapokea kutoka kwa mwakilishi wa shirika la GLRA la Ujerumani nchini Burchard Rwamtoga jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment