Wednesday 27 August 2014

HUU NDIO UJIO WA BENJAMIN WA MAMBO JAMBO..!!!

MWANAMUZIKI Benjamin wa mambo jambo aamua kurudi kwa kishindo kikubwa baada ya kimya cha mda mrefu kidogo, MASHABIKI WAKE waliamua kudodosa kimya chake na kugundua kuwa Mwanamuziki huyo alikuwa masomoni ila kwa sasa amesema mashabiki wake kaeni mkao wa kula kwani sasahivi ameamua kuzama kwenye game tena kwa miguu miwili.

No comments:

Post a Comment