Wachezaji
wa Manchester United, kutoka kulia Wayne Rooney, Juan Mata na Robin van
Persie wakiwa hawaamini macho yao baada ya Sunderland kusawazisha bao
Kocha
Louis Van Gaal kwa mara nyingine ameshindwa kuipa ushindi Manchester
United baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Sunderland Uwanja wa Light
katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.(P.T)
Juan Mata
alitangulia kuifungia United dakika ya 17, lakini Jack Rodwell
akaisawazishia Black Cats dakika ya 30. Robin van Persie alirejea kwenye
kikosi cha Mashetani Wekundu leo kwa mara ya kwanza tangu baada ya
Kombe la Dunia, lakini akashindwa kuibeba timu hiyo.
Kikosi cha Sunderland kilikuwa; Mannone, Vergini, O'Shea, Brown, Van Aanholt, Larsson, Cattermole, Rodwell/Gomez dk63, Buckley/Bridcutt dk79, Fletcher/Altidore dk76 na Wickham.
Manchester United: De Gea, Jones, Smalling/Michael Keane dk44, Blackett, Valencia, Fletcher/Januzaj dk64, Cleverley, Young, Mata, Van Persie/Welbeck dk64 na Rooney.

No comments:
Post a Comment