Monday 25 August 2014

DIMPOZ AWACHANGANYA JOKATE, VENESSA MDEE!


Stori: Gladness Mallya
Acha kabisa! Habari ya mjini katika ulimwengu wa mastaa wa Kibongo ni madai ya Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuwachanganya kimalovee, mastaa wenzake, Jokate Mwengelo ‘Kidoti’ na Vanessa Mdee ‘Van V’ au V-Money, Ijumaa Wikienda limeinyaka.
Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ akipozi kimahaba na Vanessa Mdee, 'V-Money'.

No comments:

Post a Comment