Idara
ya Hekaheka ambayo ipo ndani ya kipindi cha Leo Tena ina stori kuhusu
kijana ambaye kwa umri anaonekana bado mdogo kuwataka kimapenzi Ma Mc wa
shughuli mbalimbali.
Ukitoa tu kuwataka kimapenzi kitu ambacho kimewashangaza hata hao
Ma-Mc ni namna alivyo na ujasiri ukilinganisha na umri wake kwani Ma Mc
hao ni wakubwa kwake na ni kama mtoto wao.
Gea Habib kapiga stori na Ma-Mc hao ambao walimtengenezea mtego wa
kumkamata kijana huyo ambapo nae kazungumza kwenye hii Hekaheka na kutoa
sababu za kuamua kufanya hivyo.
87.9 Clouds Fm inasikika ukiwa Moshi.
Bonyeza play kusikiliza.
http://millardayo.com/hekaaug25/
No comments:
Post a Comment