Akizungumza na Amani, Johari ambaye umri wake upo juu ya miaka 30,
alisema watu wengi wanafikiri kuwa ndoa ndiyo kila kitu katika maisha
lakini kwa upande wake bado hajaifikiria.
“Kitu ambacho nakiamini mimi ni kwamba ndoa kama nimepangiwa na Mungu
ipo na itaendelea kuwepo haijalishi hata kama nitafikisha miaka
hamsini,” alisema Johari.
No comments:
Post a Comment