Tofauti na alivyokuwa zamani, Maimartha kwa sasa anaonekana kuwa na makalio makubwa hali ambayo imewashtua baadhi ya wadau wake wa karibu na kusema kwamba mwanadada huyo anatumia dawa za kuongeza makalio kwani yeye mwenyewe anaziuza dukani kwake. “Yaani Maimartha anashangaza kweli kwani kila kukicha makalio yanaongezeka wakati zamani alikuwa mwembamba pia hivi sasa anaonekana kuwa ana shepu, kwanza kuna wakati hayampendezi,” alisema mdau mmoja pasipo kutaja jina. Maimartha alipoulizwa kuhusu ishu hiyo alisema: “Jamani nimeridhika tu na maisha yangu situmii dawa za kuongeza makalio
Friday, 5 September 2014
MAKALIO YA MAIMARTHA JESSE YAWA GUMZO, YASEMEKANA NI MCHINA
Tofauti na alivyokuwa zamani, Maimartha kwa sasa anaonekana kuwa na makalio makubwa hali ambayo imewashtua baadhi ya wadau wake wa karibu na kusema kwamba mwanadada huyo anatumia dawa za kuongeza makalio kwani yeye mwenyewe anaziuza dukani kwake. “Yaani Maimartha anashangaza kweli kwani kila kukicha makalio yanaongezeka wakati zamani alikuwa mwembamba pia hivi sasa anaonekana kuwa ana shepu, kwanza kuna wakati hayampendezi,” alisema mdau mmoja pasipo kutaja jina. Maimartha alipoulizwa kuhusu ishu hiyo alisema: “Jamani nimeridhika tu na maisha yangu situmii dawa za kuongeza makalio
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment