Monday 8 September 2014

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiiBMKLnyIkJgr6S0SZTlLhI8qMZaAxBgVFhONs5vj-E34StX8qx_af5l0lNfzygZCpGfRljeZBI4XA85VJSSMzqLSXYRGqgKrBYnp-u_4rLM7SiDwphX7f2rdQLEGlqryHykXg2oIWuaj9/s1600/nishajabu.jpgMchekeshaji maarufu hapa Tzee ambaye anamiondoko ya kimasai, Gillady Severina aka Masai Nyotambofu, ameteka sana soko la filamu hapa Bongo kwa upande wa  Comedy kwa kufanya filamu kibao kama ‘Vyumba Vimejaa’, ‘Inye Ndembendembe’, ‘Pedeshe’ nk.

Kwa chanzo chetu cha kuaminika kimebaini uhusiano uliopo baina ya Masai Nyotambofu na Salma Jab aka Nisha anayetamba sokoni na muvi ya ‘Zena Na Betina’, ‘Jike Dume’ nk, mara baada ya kuunasa Comment yake Instagram aliyopost kidume mwenye mbwembwe za kimasai. BK lilijaribu kumuuliza Nyotambofu ambye alijibu hivi,

No comments:

Post a Comment