MFALME MSWATI ACHAGUA MKE WA 14 KATI YA WAREMBO ELFU 80 WENYE BIKRA, WALITOROKA KUKIONA CHA MOTO
KING Mswati
  Mfalme wa Swaziland amefikisha wake kumi na nne 14 baada ya juzi  
jumatatu kumchagua mke mwingine mwenye umri wa miaka 19 masharti ya  
mwanamke anaetakiwa kuchaguliwa ni sharti awe bikra.
Takribani
  wasichana 80,000 walipita mbele ya wageni wa heshima 46 ambapo na  
mfalme alikuwa ameketi mbele akiwa kaketi na malkia aliechaguliwa mwaka 
 jana LaFogiyane Baadhi ya wasichana wanakimbia katika taifa hilo  
kutokana na sheria hizo. 
 
wasichana
  hao hupita wakiwa nusu uchi ndipo mfalme anachagua mke wake kafikisha 
 wake 14 Pia sasa katika ngoma ya mwanzi alikuwa mfalme Goodwill  
Zwelithini, mfalme wa Zulu taifa ambaye ana wake 6.
Huyu
  ni miongoni mwa wasichana wanaopinga kwa nguvu zote sheria za nchi 
hiyo  na yeye katoroka nchini Swazland na anaamini kuwa endapo akirudi 
nchini  kwao atakamatwa na kuuwawa kwani ndio sheria ya nchi yao.
 
 
Mfalme Mswati, Mfalme wa Swaziland.


No comments:
Post a Comment