Mpepetaji
Pages
POLITICS
ENTERTAINMENT
FASHION
ARUSHA YETU
BUSINESS
Saturday, 6 September 2014
WASANII WA SERENGETI FIESTA WATOA MSAADA KWA MAJERUHI WA AJALI MUSOMA
Msanii Shiole na mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu wakikabidhi misaada katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kwa ajili ya majeruhi wa ajali iliyotokea mjini Musoma leo.
Nay wa Mitego akikabidhi moja ya misaada iliyotolewa na baadhi ya wasanii wa Serengeti Fiesta muda mfupi baada ya ajali.
Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akizungumza mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya kuahirishwa kwa Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Musoma leo.
Wasanii na crew ya Serengeti Fiesta wakati wakitoa misaada hiyo.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mara akitoa ripoti ya marehemu na majeruhi wa ajai.
Baadhi ya majeruhi wa ajali ya leo Musoma wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya ajali.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment