Monday 12 August 2013

Nyota ya Ommy Dimpoz yazidi kung`ara picha ya mapokezi huko Burundi



 OMMY DIMPOZ ALIVYO POKELEWA NA UMATI MKUBWA NCHINI BURUNDI
 



Ni kitu kizuri kuona mtu kama Ommy Dimpoz anafanikiwa, pamoja na kwamba hii imekufikia kama stori lakini pia ikufikie kama utambulisho wa ubunifu wa kijana huyu wa Kitanzania aliezitambua fursa na kuanza kuzitumia.
Hii ni show ambayo imeandaliwa na Ommy Dimpoz mwenyewe, yani tofauti na tulivyozoea kwamba Wasanii wanaalikwa kwenda kupiga show…. yeye alijipanga akaamua kuandaa show yake mwenyewe tena kwenye nchi ambayo sio yake (Burundi) na kufanikiwa kiasi hiki… pongezi anastahili.



No comments:

Post a Comment