Wakaazi wa mtaa wa kwanza wa Mathare Kaskazini walishuhudia kioja pale
maiti ilidinda kusafirishwa jana usiku hadi eneo la Kendu Bay kwenye
kaunti ya Homabay. Maiti ya mwenda zake Peter Otieno ilisafirishwa
baadaye leo alasiri mishale ya saa tisa kasorobo baada ya jamaa zake wa
karibu kufanya mila na desturi ya jamii ya waluo ambapo maiti
ilibembelezwa na kubadilisha mwili wa marehemu kwenye jeneza ili kichwa
kilalie upande wa nyuma wa jeneza.
ITAZAME VIDEO HAPA
ITAZAME VIDEO HAPA
No comments:
Post a Comment