Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima....lakini
wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa, wakidhani
ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la wanawake.
Umewahi kusikia wanawake wa Kitanzania wanalalamika au kukimbia "mziki
mnene" lakini wanawake wa Kizungu wanafurahia?
Kwa mujibu wa maelezo ya Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake ni
kwamba wenzetu (wazungu) hawana utaratibu wa kujiswafi (ondoa Utok**)
mara kwa mara, wao wanafanyiwa na Daktari mara moja ndani ya miezi Sita.
Utok** ukikaa sana Ukeni husababisha Uke kuwa mpana...achilia mbali
harufu mbaya na pengine kuwa chanzo cha maambukizi..
Sisi Wanawake wa Kitanzania ambao baadhi yetu tulipata bahati ya
Kufundwa, kama unakumbuka unaambiwa wazi kabisa kuwa Utok*** unaotoka
Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua"
Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi asubuhi.
Sasa kama ilivyo kwa Wanawake kuwa tumetofautiana kimaumbile, hali
kadhalika wanaume pia wametofautiana.
Kuna kubwa na ndogo, ndefu na fupi, nene na nyembamba, zilizopinda na
zilizonyooka, safi na chafu, laini na ngumu, zenye ukurutu na
nyororo...n.k.
No comments:
Post a Comment