Tuesday, 3 December 2013

WAKUBWA TU "UMUHIMU WA SHAGA /CHENI KIUNONI

Elimu ya mapenzi ni pana japo wengi hawafahamu na kila kiungo cha mwili katika mapenz kina kazi yake hivyo katika safu hii napenda nizungumzie kiuno hususan kazi yake katika mapenzi na zaidi nataka kuwafahamisha watu dhidi ya umuhimu / kazi ya shanga au cheni pindi iwapo kiunoni, Dir
  wanawake wengi huvaa shanga au cheni kiunoni wakidhan kama ni moja ya urembo bila kufaham ina umuhimu gani. Kama tunavyojua siku zote kiuno kazi yake nikukatika pindi mwanamke awapo chumbani na mpenzi wake wakila raha ifahamike kuwa unaweza ukakikata kiuno lakini kikawa ni chakawaida kisimshangaze mwanaume sana ila kama utakuwa upo kwenye sita kwa sita mtoto wa kike umekitenga kiuno chako kwa staili yoyote ile huku ming'aro ya silver / gold ipo kiunoni inang'aa au umevaa zile chachandu za kiasili toka kule kwetu Lungido kwa Mama Yoyoo (Shanga) Halafu taratibu na kwa ustadi wa hali ya juu unakizungusha zungusha kiuno chako ukikipandisha na kukishusha huku jamaa akihisi kama
raha inamzidia na kuona kama sosej yake inataka kukatikia ndani ya kisiwa cha raha utamfanya azidi kupagawa zaidi pindi ukiwa unakizungusha kiuno chako huku kimepambwa na cheni hata kama haujui kukatika ila zile cheni au shanga zilizozunguka kiuno zitamfanya mwanaume kuhisi kuchanganyikiwa kwa raha kwasababu shanga au cheni zinamuonekano wa kutenganisha kiuno na kiwili wili pindi ziwapo kiunoni huku ukijituma kukizungusha.
    Kiuno huonekana kama ringi vile linavyozunguka hii inamfanya mwanaume kupata hamasa zaidi na kuvutiwa. Hivyo kwa kifupi nikwamba shanga au cheni unapozivaa halafu ukiwa ndani na mpenzi wako katika sita kwa sita mkila mamboz ukikikata kiuno zinakusaidia kukifanya kiuno chako unachokatika kikatike katika hali fulani ya kuonekana kwasababu kinatenganisha sehemu nzima ya juu ya mwili na chini hivyo nivizur kwa wale wanaovaa hizi shanga au cheni wafaham kazi yake au umuhimu wake pia cheni au shanga zina mvuto mkubwa sana kwa mwanaume huleta msisimko wa hali ya juu  pindi mwanaume rijali aliekamilika azionapo!! Hata kama ni kwenye gari kwa mfano mtoto wa kike kavaa shanga au cheni kiunoni kwa bahat mbaya zikaonekana kama pembeni kulikua na mtoto wa kiume alie kamilika lazima ashtuke na kutamani hivyo shanga au cheni zina msisimko katika sehemu ya mapenzi hususan kwa wanaume huvutiwa sana.
unaweza kuchangia mawazo yako juu ya hili? tupia comment yako nami nitaifanyia kazi

No comments:

Post a Comment