MAJANGA YAZIDI KUMUELEMEA MH.ZITO KABWE..CHADEMA Mwanza yampiga marufuku Zitto kukanyaga Kanda ya Ziwa..!!
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa kimesema
hakitaki kumuona Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kwa kuwa ni
msaliti.
Pia kimewatahadharisha viongozi wa Chadema Kanda ya Ziwa kwamba
yeyote atakayeonekana kuwa karibu na Zitto katika shughuli za chama au
kutoa siri, atashughulikia haraka na kuwekwa kwenye kundi la wasaliti
No comments:
Post a Comment