luis Figo ni kati ya mchezaji mkubwa kuwahi kutokea Ureno, ni moja kati ya wachezaji mahiri sana katika kizazichake.
Kikwete hosted dinner for the former Real stars at the State
House and expressed optimism of seeing the 2013/14 Uefa Champions League
winners tour the country.
Luis Figo mchezaji bora mwaka 2000 na 2001 duniani, Alisema Tanzania kama nchinyingine barani africa ina wachezaji wengi wenye vipaji, ameishauri Tanzania football Federation (TFF) kuimarisha na kukuza mazoezi na mafunzo ya wachezaji
Tatizo kubwa la soka la hapa Bongo halikui kwasababu ya usimamizi mbovu. Soka ni mchezo mpana sana kule Ulaya na latin America wamekuwa kisoka kwasababu wame anzisha programu kuanzia watoto ili kukuza vipaji vyao.
No comments:
Post a Comment