Hizi ya chini ya kapeti ama Gossp hot news masnii mdogo mwenye umri wa miaka 21 wa huko Nigeria ambaye kwa kwa sasa ana tamba Barani Africa DAVIDO.............inasemekana amenunua ndege yake binafsi, itakayo mwezesha kusafiri kwa haraka pindi akienda kufanya show katika mataifa mbalimbali, Davido kapiga hatua kubwa sana big up to him.
kama una nfollow kwenye instagram yake basi wawezakuwa shahidi
No comments:
Post a Comment