Wednesday, 27 August 2014

YALIYOJIRI JIJINI: GARI JIPYA LA LULU LAIBUA MAKUBWA NA MAZITO


MAKUBWA! Mambo yamekuwa mambo, kadi ya gari jipya la staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ imeibua mazito kufuatia Jeshi la Polisi Dar es Salaam kubaini kuwa namba ya Sanduku La Posta (SLP) iliyoandikwa kwenye kadi hiyo ni Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania.


Gari ya staa wa  Bongo muvi, Elizabeth Michael "lulu"Kimemeta aina ya Toyota Rav 4 New Model

No comments:

Post a Comment