Monday, 25 August 2014

Jay Z na Beyonce washinda tuzo ya MTV



Jay Z akiwa na binti yake Blue Ivy wakiangalia onyesho la utoaji tuzo za MTV Video jijini Los Angeles siku ya Jumapili.
Beyonce na mumewe Jay Z walishinda tuzo ya video bora ya ushirikiano ya MTV. Tuzo hiyo ni kutokana na wimbo wao wa Drunk in Love. Sherehe za utoaji wa tuzo hizo za MTV zilifanyika Inglewood mjini Los Angeles, siku ya Jumapili na kuhudhuriwa na mastaa kibao.
Video ya Mwaka
Miley Cyrus: Wrecking Ball
Video Bora ya Hip Hop
Drake ft. Majid Jordan: Hold On (We’re Going Home)
Video Bora ya Msanii wa Kiume
Ed Sheeran ft. Pharrell Williams: Sing
Video Bora ya Msanii wa Kike
Katy Perry ft. Juicy J: Dark Horse
Video Bora ya Pop
Ariana Grande ft. Iggy Azalea: Problem
Video Bora ya Rock
Lorde: Royals
Msanii wa Kutazamwa
Fifth Harmony: Miss Movin’ On
Ushirikiano Bora
Beyoncé ft. Jay Z: Drunk In Love
MTV Clubland Award
Zedd ft. Hayley Williams: Stay the Night
Video Bora yenye Ujumbe kwa Jamii
Beyoncé: Pretty Hurts
Utengenezaji Bora wa Filamu
Beyoncé: Pretty Hurts
Uhariri Bora
Eminem: Rap God
Onyesho lenye Uchezaji wa Kisanii Bora
Sia: Chandelier
Uongozaji Bora
DJ Snake & Lil Jon: Turn Down For What
Uongozaji Bora wa Sanaa
Arcade Fire: Reflektor
Best Visual Effects
OK Go: The Writing’s On The Wall

No comments:

Post a Comment