JUX NA VANESSA MAPENZI KWEUPEE.
MBONGO-Fleva
anayefanya poa na ngoma yake ya Nitasubiri, Juma Mussa ‘Jux’ na staa
mwenzake ambaye ana kofia nyingine ya utangazaji, Vanessa Mdee ‘V-Money’ wanadaiwa kuwa ni wapenzi.
Madai ya
wawili hao kuhusishwa kimapenzi yameendelea kujidhihirisha siku hadi
siku na zaidi ni hivi karibuni walipokutana kwenye ziara ya Serengeti Fiesta 2014 mkoani Kagera na Tanga, ambapo muda mwingi walionekana
kugandana kama luba hadi wenzao kudai kuwa walikuwa hata wakilala chumba
kimoja hotelini
No comments:
Post a Comment