Wednesday 27 August 2014

ZAMARADI AFUNGUKA KAZI YA UWANDISHIA WA HABARI HAIKUWA DREAM JOB YAKE

























mwanadada mwenye mvuto katika utangazaji, ambaye anatangazaji kwe kituo cha cloud Tv Samaradi mketemwa leo amefunguka kupitia mitandao ya kijamii kuwa uwandishi wa habari haukuwa dream job yake. Alicho andika yeye peke yake mwanadada huyo alisema miakaa sita iliyo pita sikuwahi kudhani kama ningekuwa afanya kazi hii.

Being a media personality not even on my mind nimejifunza MUNGU ndiye anaye kupangia maisha na siyo sisi kama tunavo fikiri mara nyingi....!!!!! sababu hufunga hata zile  njia ambazo tunaamini bora, maisha kweli hayana formula

No comments:

Post a Comment