Waziri wa Usafiri wa Kenya Michael
Kamau, ametangaza kuwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta,
unatarajiwa kufunguliwa tena. Uwanja huo ulifungwa baada ya moto kuzuka
Jumatano iliyopita.
Hadi sasa, safari za ndani ya nchi
na chache za kimataifa ndio zinaendelea kwenye uwanja huo. Chanzo cha moto huo
bado hakijajulikana, lakini serikali imesema kuwa halikuwa shambulio la kigaidi.
source DW
No comments:
Post a Comment