Cristian Ronaldo jana aliuzima mlolongo wa ushindi wa mchezaji bora wa FIFA kwa miaka minne
mfululizo aliokuwa anaouendeleza mshambuliaji wa Barcelona Lionel
Messi, baada ya kutangazwa kuchukua tuzo hiyo kwa mwaka 2013 (Ballon
D'Or).
Ronaldo
aliwafunika Lionel Messi na mfaransa Franck Ribery kwa kupata 27.99%,
akifuatiwa na Messi aliyepata 24.72% huku Ribery akishika nafasi ya tatu
kwa kupata 23.36%.
Baada
ya kupata nafasi ya kuongea, Ronaldo aliwashukuru watu wote
waliomuwezesha, “There are no words to describe how I feel, I’m
delighted, I want to thank all my team-mates, all my family in the
room.”
Alimaliza
kwa kumkumbuka rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, hayati Nelson
Mandela na mkongwe mholanzi aliyefariki hivi karibuni Eusebio na akatoa
heshima zake.
“Those
who know me know how many sacrifices I made to win this reward. I want
to thank all those who had faith in me and I want to speak again about
Eusebio and Madiba(Nelson Mandela) and to pay tribute to them one last
time.
No comments:
Post a Comment